Zalan Football club yaomba kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa.

Zalan football club ya sudani  wameomba kutumia  uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wao wa nyumbani,katika mchezo wa atua ya awali ligi ya mabingwa Africa dhidi  ya wapinzani wao Young African sport Club.

Zalan ni klabu ya mpira kutoka sudan kusini, katika mji wa Rumbek ikishiriki ligi kuu ya sudani.

Zalan sio klabu ya mda mrefu na imepata mafanikio ya kubeba kombe msimu wa mwaka 2021/2022, lakini pia klabu hii iliwahi kuchukua kombe la shirikisho nchini Sudan mwaka 2018.

Zalan ndio wapinzani wa  yanga sc mabingwa wa ligi ya Tanzania bara(CAF Champions League 2022/23).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here