Yanga yamsajili Tuisila kisinda, Yanga sport club yamsajili Tuisila kisinda 

Timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa nyumbani, na raisi wa timu hii ni Eng.Hersi said.

Wapinzani wakuu wa yanga sport club ni timu ya Simba sport club na timu hizi zinapokutana inakuwa ni moja ya tukio kubwa Afrika mashariki

Yanga sport club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1935, ambayo makao makao makuu ya timu hii ni Dar es salaam mtaa wa Jangwani Kariakoo.

Timu hii inashiriki ligi kuu ya Tanzania bara,  na imefanikiwa kuchukua ubingwa Mara 28, na msimu wa mwaka 2021/22 imechukua ubingwa bila ya kupoteza mechi yoyote, timu hii ilishinda mechi 22 na kutoa sare 8.

Usajili wa Tuisila kisinda 

Timu ya Yanga imefanikiwa kumsajili mchezaji wa Rs berkane Tuisilia Kisinda ambaye ni raia wa Kongo, kabla ya Tuisila Kisinda  kwenda Rs Berkane alikua akichezea timu ya Yanga sport Club.

Tuisila Kisinda ni raia wa Kongo mchezaji huyu anacheza nafasi ya winga na sifa yake kubwa ni mbio na kabla ya kwenda Orlando pirate alikuwa mchezaji tegemezi kwa timu hiyo ya yanga.http://Wasomiajira.com

Timuu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa nyumbani, na raisi wa timu hii ni Eng.Hersi said.

Wapinzani wakuu wa yanga sport club ni timu ya Simba sport club na timu hizi zinapokutana inakuwa ni moja ya tukio kubwa Afrika mashariki.

Ratiba Ya mechi za Yanga sport club Nbc premier League 2022/23

Timu hii mdhamini mkuu ni sport pesa kampuni inayojihusisha na masuala ya kubeti imewekeza kiasi kikubwa katika timu hii kwa mda wa miaka mitatu, pia kuna mdhamini wa pili ambeye ni GSM kampuni inayozarisha bidhaa mbali mbali Tanzania.Yanga sport club yamsajili Tuisila kisinda 

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here