Yanga sc yazindua Jezi mpya, Yanga sc yazindua Jezi mpya leo, Yanga sc yazindua Jezi mpya Leo October 11, Yanga sc yazindua jezi zake mpya, Yanga sc yazindua Jezi mpya october 11.
Yanga sc yazindua Jezi mpya october 11.
Klabu ya Yanga sc imezindua Jezi zake mpya Leo October 11, jezi hizi zinausisha kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa Mwalimi Julius Kambarage Nyerere.
Klabu hii imeamua kumuenzi rais huyu wa kwanza kwa kuzindua jezi hizo ambazo sasa zinapatikana kwa uchache kutokana na taarifa ilio tolewa na klabu kuwa jezi hizi ni chache.
Young Africans Sports Club, pia inajulikana kama Yanga, ni timu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake katika kitongoji cha Jangwani jijini Dar es Salaam. Klabu hiyo imekuwepo tangu 1935, na michezo yao ya nyumbani inafanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Historia ya Yanga sc
Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).
Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.
Yanga sc imewahi kufiika katika hatua ya mkundi katika ligi ya mabingwa Afrika na kushindwa kuendelea katika hatua inayofuata ya robo fainali.

Yanga sc imetwaa ubingwa wa ligi ya Tanzania Mara ishirini na nane, pia kombe la shirikisho ASFC Mara tatu, Ngao ya jamii Mara sita na idadi hii ya makombe ndio imefanya timu hii kuwa na idadi kubwa ya mashabiki.