Yanga sc vs club African, yanga vs club African November 2 Benjamin mkapa, club Afrikan,  vs Yanga sc, Yanga sc vs Club African november 2, 2022.

Yanga sc vs Club African november 2, 2022.

Yanga sc baada ya kushindwa kufuzu kuingia hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika na kama ilivyo anaingia ligi ya shirikisho barani Afrika  na amepangiwa na timu ya club African kutoka  Tunisia,  yanga ataanza kucheza nyumbani na kumalizia ugenini.

Historia ya Yanga sc

Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika  ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).

Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.

Yanga sc imewahi kufiika katika hatua ya mkundi katika ligi ya mabingwa Afrika na kushindwa kuendelea katika hatua inayofuata ya robo fainali.

Historia ya klabu Africain

Club Africani klabu ya soka ya Tunisia yenye maskani yake nchini Tunis ambayo inashiriki michuano ya Tunisia. Inashirikisha timu kadhaa za michezo, ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa mikono, mpira wa kikapu, kuogelea na voliboli. Timu ya soka ilikuwa klabu ya kwanza ya Tunisia kushinda kombe la kimataifa, iliposhinda Kombe la Washindi wa Kombe la Maghreb mwaka wa 1971. Miaka 20 baadaye, mwaka wa 1991, Club Africain ikawa timu ya kwanza ya Tunisia kushinda Ligi ya Mabingwa Afrika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here