Wafungaji bora Tanzania premier league 2022/23, wafungaji bora ligi kuu Tanzania bara 2022/23, wafungaji bora NBC premier league 2022/23, wafungaji bora wa ligi ya Nbc 2022/23, wafungaji bora 2022/23, WAFUNGAJI NBC PREMIER LEAGUE 2022/23
WAFUNGAJI NBC PREMIER LEAGUE 2022/23.
Kama inavyofahamika katika soka kila ligi lazima iwe na nyaja mbalimbali kama mfungaji bora, goli kipa bora, mchezaji bora, beki bora na vinginevyo.
Hivyo kupitia kuwepo na ushindanisho wa vitu hivi hupelekea hata wachezaji kuwa na ushindani na kuweza kuzisaidia timu zao kuweza kupambana.
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania hutoa tuzo hizi pindi ambapo ligi zote zinapokuwa zimemalizika, sambamba na hivyo kila mwisho wa mwezi shirikisho hili huchagua kocha bora wa mwezi na mchezaji bora wa mwezi.
Tuzo hizi huusisha wachezaji wote wa ndani ya nchi na wale wachezaji wa nje ya nchi kutokana na tuzo hizi hufanya wachezaji wetu kuweza kufanya vizuri ili kuweza kupata tuzo hizi na kufanya soka kuwa na upinzani na kuweza kukua kwa ujumla.
wafungaji bora
Fiston mayele -Yanga sc – 10
Sixtus sabilo -mbeya city -7
Moses Phiri -Simba sc -6
Reliant Lusajo Namungo fc -6
Idris Mbombo -Azam fc -6
Mubarak Hamza -coastal union – 5
Feisal salum Yanga sc – 4
Tariq seif -Mbeya city- 4
Anuary Jabir – Kagera sugar -4
Matheo Antony- kmc – 4
- Ratiba ya mechi za simba Sport club 2022/23
- Ratiba Ya mechi za Yanga sport club Nbc premier League 2022/23
Msimu uliopita aliechukua tuzo hio alikua ni George Amani mpole mshambuliaji wa Geita gold alie maliza msimu na magoli 17 mbele ya mshambuliajii wa yanga Fiston Mayele.WAFUNGAJI NBC PREMIER LEAGUE 2022/23