Viingilio vya simba vs De Agodato October 16 2022, Viingilio vya simba sc CAF champions League October 16, Viingilio vya Simba sc Vs De Agosto CAF Champions League, Simba Vs Diagosto, Viingilio vya Simba sc vs De Agosto october 16.

Viingilio vya Simba sc vs De Agosto october 16.

Baada ya timu kurejea, wachezaji walipumzika na kukutana na familia zao kabla ya kuanza maandalizi ya mchezo wa mkondo wa pili utakaofanyika Jumapili Oktoba 16, 2022 saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

Klabu ya Simba sc baada ya kushinda katika mchezo wa mzunguko wa kwanza katika hatua ya awali ya ligi ya mabingwa Afrika na kuweza kuibuka na ushindi mkubwa wa mabao matatu kwa moja katika uwanja wa ugenini na kusubili mchezo wa marudiano utakaochezwa October 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambao Simba sc atakuwa nyumbani dhidi ya De Agosto kutoka Angola.

Klabu hii imetoa viingilio ambavyo mashabiki na wapenzi wa timu hii watalipa ili kuweza kuingia uwanjani kuishangilia klabu yao pendwa ya simba sc katika mchezo wake ambao ndio utaamua kama klabu hio itasonga mbele katika hatua ya makundi, na ni moja ya klabu yenye uzoefu na michuano hii ya ligi ya mabingwa Africa.

Viingilio vya Simba sc vs De Agosto.

Mzunguko – 3000

Machungwa – 5000

VIP C – 10000

VIP B – 15000

VIP A – 20000

PLATINUM TICKET- 150000

Historia ya simba sc

Simba Sports Club ni timu ya soka ya Tanzania yenye makao yake makuu Kariakoo, Dar es Salaam.

Kwa kumuenzi Mtukufu Malkia wa Uingereza, klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 na kutengana na timu nyingine ya Tanzania Giants, ilipewa jina la Queens. Klabu hiyo imekuwa ikijulikana kama Queens, Eagles, na hatimaye Sunderland,  Waliitwa Simba mwaka 1971.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na kuwa moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita. Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Simba inapocheza michezo yake ya nyumbani.

Simba ndio timu ya soka iliyo na akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi mwaka 2022, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ongezeko la 89% kutoka mwaka uliopita.

Klabu hiyo ni miongoni mwa timu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na bajeti ya Sh Bilioni 6.1 (kama dola milioni 5.3) kwa msimu wa 2019/2020.

 

 

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here