Viingilio vya Simba sc vs Ihefu fc, viingilio Simba sc vs ihefu fc ligi kuu Tanzania trends, Viingilio vya mechi ya simba sc vs Ihefu fc, Viingilio Simba sc vs Ihefu november 12, Nbc premier league .

Viingilio Simba sc vs Ihefu november 12, Nbc premier league.

Mzunguko -5000

VIP B&C -10000

VIP A-15000

Simba sc ni klabu ya kaariakoo Dar es salaam inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara, inatumia uwanja wa Benjamin mkapa katika michezo yake ya nyumbani.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na kuwa moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita. Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Simba inapocheza michezo yake ya nyumbani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here