Viingilio mechi ya simba sc vs yanga sc, viingilio mechi ya yanga sc vs simba sc, viingilio simba sc vs yanga oktoba 2023, viingilio simba vs yanga, yanga sc vs yanga sc viingilio, oktoba 23 yanga sc vs simba sc viingilio, viingilio Benjamin mkapa yanga sc vs simba sc, Viingilio mechi ya Yanga sc vs Simba sc oktoba 23.

Viingilio mechi ya Yanga sc vs Simba sc oktoba 23.

Yanga sc

Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika  ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).

Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.

Simba sc

Simba Sports Club ni timu ya soka ya Tanzania yenye makao yake makuu Kariakoo, Dar es Salaam.

Kwa kumuenzi Mtukufu Malkia wa Uingereza, klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 na kutengana na timu nyingine ya Tanzania Giants, ilipewa jina la Queens. Klabu hiyo imekuwa ikijulikana kama Queens, Eagles, na hatimaye Sunderland,  Waliitwa Simba mwaka 1971.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na kuwa moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita. Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Simba inapocheza michezo yake ya nyumbani.

Simba ndio timu ya soka iliyo na akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi mwaka 2022, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ongezeko la 89% kutoka mwaka uliopita

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here