Uamuzi wa Tff kuhusu sakata la feisal salum, Taarifa kutoka kwa Tff kuhusu Feisal Salum, Tff yaitimisha  hukumu ya feisal salum, Tff yagoma kubadili mahamuzi ya feisal salum

Uamuzi wa Tff kuhusu sakata la feisal salum.

 

Kamati ya  sheria na hadhi  ya wachezaji Tff, hapo mwanzo kamati hii ilitoa uamuzi ya kuwa mchezaji Feisali Salum ni mchezaji halali wa yanga sc kutokana na kanuni zinazoelezea kuhusu mikataba baina ya klabu ya Yanga sc na mchezaji huyo, baada ya kamati hii ya sheria na hadhi kutoa uamuzi huo mchezaji huyo hakuridhika na maamuzi haya na kuamua kukata rufaa na kesi yake ilipangwa kutolewa uamuzi  siku ya leo tarehe march 2, 2023 na imetolewa uamuzi ya kuwa utetezi kati ya pande mbili haukuwa wa msingi hivyo kupelekea kamati hii kutobadili maamuzi iliyoyatoa awali.

Hapo jana mama mzazi wa mchezaji Feisal salum alihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari na kulalamika ya kuwa mwanae aliteswa sana kipindi anaitumikia klabu ya yanga na kusema hawezi kumshahio mwanae kurudi kuchezea katika klabu hio.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here