Tuisila kisinda kaanza mazoezi na klabu ya Yanga, Tuisila kisinda kuanza kuitumikia klabu ya Yanga sc, Yanga sc kuanza kumtumia Tuisila Kisinda, Tuisila kieinda kucheza yanga, kisinda kuanza kazi , Tuisila Kisinda kuanza kucheza Yanga sc rasmi

Tuisila Kisinda kuanza kucheza Yanga sc rasmi.

Mchezaji Tuisila kisinda raia wa Congo DRC ambeye alikua mchezaji wa RS Berkane na kusajiliwa na klabu aliokua akiitumikia zamani ya Yanga Sc.

Mchezaji huyu aliporejea katika klabu ya yanga sc alizuiliwa na shirikisho la mpira wa miguu kutokuitumika klabu hio katika mchezo wowote kwa sabubu ya sheria walizoweka za idadi ya wachezaji wa kigeni.http://Tanzaniatrends.com

Hivyo shirikisho hili la mpira limemruhusu mchezaji huyu kuanza kuitumikia klabu hii ya Yanga sc baada ya klabu hii kumpunguza mchezaji mmoja wa kigeni ambaye ni Kambole ambaye amepata majeraha makubwa.http://Wasomiajira.com

Tuisila kisinda ni mchezaji Raia wa Congo DRC, mchezaji huyu anacheza nafasi ya mshambuliaji wa pembeni na sifa yake kubwa winga huyu ni kasi.

Historia ya yanga sc 

Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara na ni moja ya timu kubwa katika ligii hii.

Timu hii makao makuu yake yanapatikana Jangwani Dar es salaam na inatumia uwanja wa Benjamin mkapa katika mechi zake zote za nyumbani, wapinzani wakubwa wa timu hii ni klabu ya simba sc.Tuisila Kisinda kuanza kucheza Yanga sc rasmi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here