Timu zilizoingia hatua ya Makundi Afrika kombe La shirikisho, Timu zilizoingia katika hatua ya makundi kombe la shirikisho Afrika, Timu zilizofuzu hatua ya makundi CAF Confedaration cup 2022, Timu zilizotinga hatua ya makundi caf confedaration.

Timu zilizofuzu CAF Confedaration cup 2022.

🇹🇿 Young Africans
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇨🇬 Diables Noirs
🇨🇩 Eloi Lupopo
🇪🇬 Future FC
🇱🇾 Al Akhdar
🇲🇱 AS Real
🇿🇦 Marumo Gallants
🇹🇬 ASKO Kar
🇪🇬 Pyramids FC
🇩🇿 USM Alger
🇨🇩 TP Mazembe

Klabu hizi zitakutana katika hatua ya makundi baada ya kumalizika kwa kombe La dunia na  Caf haijatoa ratiba rasmi michuano hii itaendelea lini.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here