Timu ya twiga stars yaingia hatua ya nusu fainali COSAFA, timu ya twiga stars yafuzu hatua ya nusu fainali COSAFA, timu ya Twiga stars imeingia hatua ya nusu fainali COSAFA, timu ya Twiga stars nusu fainali COSAFA, Timu ya Tanzania Twiga stars yatinga hatua ya nusu fainali COSAFA

Timu ya Twiga stars yatinga hatua ya nusu fainali COSAFA

Twiga stars imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya COSAFA kwa wanawake kwa kuifunga Malawi mabao 3-1 katika mchezo wa Kundi C uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Isaac Wolfson mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.http://Wasomiajira.com

Inafundishwa na Bakari Shime, mabao ya Twiga Stars yalifungwa na Deonisia Minja dakika ya 19, Diana Lucas dakika ya 45 na Opa Clement dakika ya 58, huku Axmenie Simwaka akifunga dakika ya 65 kwa Malawi alifanya, Twiga Stars ambayo ni bingwa mtetezi, ina pointi saba katika michezo yake mitatu, ambapo imeshinda miwili. Nyingine ni dhidi ya Comoro ambapo yeye ni 3-0 na dhidi ya Botswana 0-0.http://Tanzaniatrends.com

Timu hii ilifanikiwa kufuzu CAF Champions women’s mwaka 2010 baada ya kuifunga Elitrea mabao 11-4 na kuifanya kuendelea mbali.

  • https://tanzaniatrends.com/simba-yaachana-na-kocha-wake-zoran-maki/

Baada ya Twiga Stars kufanikiwa kufuzu kwa fainali za Ubingwa wa Afrika nchini Afrika Kusini, mfanyabiashara Mtanzania, Rahma Al-Kharoosi, aliwafadhili kufanya mazoezi nchini Marekani kwa muda wa wiki mbili mwezi Agosti 2010. Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa shilingi milioni 53 za Kitanzania ambazo kwa kukadiria ni takriban Dola za Marekani 30,000 mnamo tarehe 9 Juni ili kulipia gharama za kambi ya mazoezi na posho kabla ya mashindano ya ubingwa.Timu ya Twiga stars yatinga hatua ya nusu fainali COSAFA

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here