Orodha ya makocha waliosajiliwa na CAF, Idadi ya makocha waliosajiliwa na CAF, Makocha waliopitishwa na CAF
TFF yatoa orodha ya makocha waliosajiliwa CAF
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limetoa idadi ya makocha waliosajiliwa na CAF na kupewa lesseni za kufundisha kwa ngazi ya diploma.http://Wasomiajira.com
Taarifa hii imetolewa baada ya kusemekana kuna baadhi ya makocha hawana leseni za CAF hivyo shirikisho hili la mpira (TFF) limeamua kutoa orodha ya majina ya makocha waliosajiliwa na CAF.http://Tanzaniatrends.com
- https://tanzaniatrends.com/beki-wa-yanga-shaibu-ninja-amusishwa-kujiunga-na-klabu-ya-dodoma-jiji-fc/
Historia ya TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) (Swahili: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania), lililokuwa Shirikisho la Soka Tanzania, ndilo linaloongoza soka nchini Tanzania. Anasimamia uendeshaji wa Mfumo wa Ligi ya Soka Tanzania, Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania. Ilianzishwa mwaka 1945, imekuwa mwanachama wa FIFA tangu 1964. Wallace Kalia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania tangu 2017.
Maraisi waliowahi kuongoza shirikisho la mpira Tanzania
- Mr. Al Chambuso 1967-1974
- Hon. Said El mameery 1974-1987
- Mr. Mohammed Musa 1987-1992
- Alhaji. Muhdin Ndolanga 1992-2004
- Mr. Leodgar Tenga 2004-2013
- Mr.Jamal E Malinzi 2013-2017
- Mr. Wallece Karia 2017–present
Kwa sasa pia kuna bodi ya ligi ambayo nayo inahusika kusimamia masuala ya ligi kuu Tanzania bara na ndio inahusika na kutoa sheria katika ligi hio.TFF orodha ya makocha waliosajiliwa CAF