Tanzania twiga stars yapoteza nusu fainal COSAFA,  Twiga stars yapoteza dhidi ya Zambia, Tanzania twiga stars yashindwa kuingia fainal COSAFA, , Tanzania twiga star yatupwa nje COSAFA.

Tanzania Twiga stars yavuliwa Ubingwa COSAFA

Tanzania Twiga stars ambayo ilikua bingwa mtetezi wa COSAFA kavuliwa ubingwa na timu ya Zambia kwa mabao mawili kwa moja na kuifanya timu ya Zambia kuingia katika hatua ya fainal.

Historia ya Tanzania twiga stars 

Timu hii ilifanikiwa kufuzu CAF Champions women’s mwaka 2010 baada ya kuifunga Elitrea mabao 11-4 na kuifanya kuendelea mbali.http://Wasomiajira.com

Baada ya Twiga Stars kufanikiwa kufuzu kwa fainali za Ubingwa wa Afrika nchini Afrika Kusini, mfanyabiashara Mtanzania, Rahma Al-Kharoosi, aliwafadhili kufanya mazoezi nchini Marekani kwa muda wa wiki mbili mwezi Agosti 2010.http://Tanzaniatrends.com

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa shilingi milioni 53 za Kitanzania ambazo kwa kukadiria ni takriban Dola za Marekani 30,000 mnamo tarehe 9 Juni ili kulipia gharama za kambi ya mazoezi na posho kabla ya mashindano ya ubingwa.Tanzania Twiga stars yavuliwa Ubingwa COSAFA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here