Tanzania twiga star yashinda nafasi ya tatu COSAFA, Tanzania Twiga stars yashinda hatua ya nafasi ya tatu, Tanzania Twiga stars mshindi wa tatu COSAFA, Tanzania Twiga stars imechukua nafasi ya Tatu, Twiga star imeshinda dhidi ya Namibia

Tanzania Twiga stars mshindi wa tatu COSAFA

Timu ya wanawake Tanzania twiga stars imeshinda mabao mawili kwa moja dhidi ya timu ya wanawake ya Namibia, mchezo huu ulikua ni wakuwania nafasi ya tatu katika michuano ya COSAFA ya wanawake ambayo yanafanyika nchini Afrika ya kusini.

Timu hii ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars katika michuano iliopita ndio ilikua bingwa wa michuano hio ya COSAFA na ilikua inatetea ubingwa wake.

Kocha wa timu hii ni bakari shime ambae ameipa timu hii mafanikio na ameiongoza mpaka inachukua ubingwa wa COSAFA.

Timu ya Tanzania Twiga stars yatinga hatua ya nusu fainali COSAFA

Historia ya Tanzania twiga star 

Hii ni timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania ambayo inatumia jina la Twiga stars na ni timu bora na inafanya vizuri katika michuano mbalimbali inayoshiliki hasawa michuano hii ya COSAFA, Tanzania Twiga stars mshindi wa tatu COSAFA

Timu hii ilifanikiwa kufuzu CAF Champions women’s mwaka 2010 baada ya kuifunga Elitrea mabao 11-4 na kuifanya kuendelea mbali.http://Wasomiajira.com

Baada ya Twiga Stars kufanikiwa kufuzu kwa fainali za Ubingwa wa Afrika nchini Afrika Kusini, mfanyabiashara Mtanzania, Rahma Al-Kharoosi, aliwafadhili kufanya mazoezi nchini Marekani kwa muda wa wiki mbili mwezi Agosti 2010.http://Tanzaniatrends.com

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa shilingi milioni 53 za Kitanzania ambazo kwa kukadiria ni takriban Dola za Marekani 30,000 mnamo tarehe 9 Juni ili kulipia gharama za kambi ya mazoezi na posho kabla ya mashindano ya ubingwa.Tanzania Twiga stars mshindi wa tatu COSAFA

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here