Coastal union yatoa tamko kuhusu kocha Juma mgunda, Klabu ya coastal Union yatamka kuhusu Juma mgunda kujiunga na simba, Coastal Union yakanusha kumruhusu Juma mgunda Kujiunga na simba sc, Taarifa kuhusu Juma Mgunda coastal union

Taarifa   kuhusu Juma Mgunda coastal Union

Klabu ya coastal union imetoa taarifa kuhusu kocha wake Juma Mgunda ambaye alitangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya simba kwa mda mpaka klabu hio ya simba itakapopata kocha mkuu.

Klabu ya Coastal Union imetoa taarifa na kusema kuwa, Kocha wake Juma mgunda alikua amemaliza mkataba wake katika timu hio hivyo uongozi wa klabu ya coastal Union ilikua ikikubaliana nae kuongoza mkataba mwingene ikiwa bado hawajakubaliana klabu ya simba ikatoa taarifa kuwa kocha huyo ataiongoza simba sc kwa mda na ilitoa shukrani kwa uongozi wa klabu ya coastal union kwa kumruhusu Juma Mgunda.

Leo September 8 klabu ya Coastal Union imekausha taarifa hio na kusema kuwa haijamruhusu kocha huyo kujiunga na klabu hio bali ni makubaliano yake binafsi.http://Tanzaniatrends.com

Mpaka sasa kocha Juma mgunda tayali yupo na kikosi cha simba sc nchini Malawi wakiendelea na mazoezi.http://Wasomiajira.com

Kocha Juma mgunda ni kocha bora katika ligi yetu ya Tanzania ambaye katika msimu uliopita alifanikiwa kuifikisha klabu ya coastal Union fainali ya kombe la shirikisho (ASFC) na kupoteza katika hatua ya penalty dhidi ya klabu ya Yanga.

Kocha huyu ana leseni ya CAF na ni kocha mzuri kwa sasa kocha huyu watu wanamuita “Gadiola mnene” maana mfumo wake wa kucheza unafanana na ule mfumo wa kocha Gadiola.

  • https://tanzaniatrends.com/juma-mgunda-kuiongoza-simba-caf-champion-league/

Historia ya Coastal Union

Coastal union ni timu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara, timuu hii ilianzishwa mwaka 1985 na makao makuu yake yapo mkoani Tanga na jina la utani ni “wagosi wa Kaya”.Taarifa kuhusu Juma Mgunda coastal union

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here