Singinda big stars yatangaza jezi mpya, Singida big stars yazindua jezi zake mpya, Singida big stars yatangaza Uzi mpyaa, Singida big stars Yazindua jersey mpya leo

Singida big stars Yazindua jersey mpya leo.

Klabu ya singida big stars imezindua jersey zake mpya  ambazo watakuwa wakizitumia katika michezo yao ya nyumbani na ugenini.

Jersey hizi zimetengenezwa na mzamini mfanya biashara fred vunja bei ambae pia anazamini  klabu ya simba na klabu Tanzania prison wajelajela.

Home kit-Jezi ya nyumbani

Third kit

Away kit

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here