Singida big star yaongeza mchezaji mwingine katika kikosi chao, singida big stars yafanya usajili Leo, singida big stars yamtambulisha mchezaji mpya.

Usajili mpya wa singida big stars

Mchezaji Rajabu zahiri ametambulishwa na timu ya singida big star mchezaji huyo anacheza nafasi ya ulinzi, mchezaji huyu amewahi kucheza timu mbalimbali zikiwemo mbeya city, stand united, yanga sport club na Ruvu shooting.

Ratiba ya mechi za simba Sport club 2022/23

Singida big stars ni timu mpya katika ligi kuu Tanzania bara msimu we 2022/23, timu hii imeshiriki kwa mara ya kwanza ligi hio.

Timu hii inatumia uwanja  wa liti  ambao ulibadilishwa jina kutoka uwanja wa Namfua, uwanja huu unapatikana mkoani singida.

Singida big stars inamilikiwa na waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba.

Timu hii imefanya usajili mkubwa imetoa wachezaji nje ya nchi na baadhi ya wachezaji ndani na wengine ikiwatoa katika vilabu vikubwa Tanzania yaani simba na yanga.

Timu hii ilipopanda ligi kuu ilibadili jina awali ilikua ikiitwa DTB na kubadili jina na sasa inaitwa singida big stars.

Chimbuko la timu hii imetokea mkoani singida.

Licha ya kuwa ni mara ya kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC, Singida Big Stars ni timu yenye nyota wengi wazoefu waliowahi kuzichezea klabu kubwa nje na ndani ya Tanzania.

Huku nyota waliowahi kuwa wafungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC kama Amis Joslyn Tambwe na Meddie Kagere, Beki Mkongwe kama Pascal Wawa na wengine wenye uzoefu kama Deus Kaseke na Said Ndemla.

 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) (Swahili: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania, ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania. Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya soka ya Tanzania, na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania. Ilianzishwa mwaka wa 1945 na imekuwa ikishirikiana na FIFA tangu 1964. Wallace Karia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania kufikia 2017.Singida big star yaongeza mchezaji mwingine katika kikosi chao

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here