Tanzania Serengeti girls yaondoshwa kombe la dunia, Tanzania Serengeti girls imetoka kombe la dunia, Serengeti girls yashindwa kuendelea kombe la dunia, Tanzania Serengeti girls yaondolewa kombe la dunia, Serengeti girls yashindwa kuingia nusu fainali kombe la dunia, Serengeti girls yatolewa kombe la dunia wanawake, Tanzania Serengeti girls yaondolewa michuano ya kombe la dunia Leo, Tanzania Serengeti girls yaaga mashindano ya kombe la dunia.

Serengeti girls yatolewa kombe la dunia wanawake.

Timu ya Taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 Serengeti girls imepoteza kwa mabao matatu kwa bila katika mchezo wake wa robo fainali dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya colombia,  kutokana na matokeo hayo timu ya Taifa ya wanawake ya Colombia imeingia katika hatua ya nusu fainali.

Tanzania Serengeti girls

Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 inawakilisha Tanzania katika soka la kimataifa la wanawake chini ya umri wa miaka 17. Timu hiyo inadhibitiwa na shirikisho la soka nchini Tanzania TFF. Kwa sasa timu na shirikisho hilo ni mwanachama wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Baraza la Kanda la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).

Timu hiyo ilimaliza kama washindi wa pili katika toleo la 2021 la Mashindano ya CECAFA kwa Wanawake U-17 na pia kufuzu kwa Kombe la Dunia la Wanawake la U-17 la 2022 na kuwa timu ya kwanza ya Kitanzania kufuzu kwa hafla ya Kombe la Dunia la FIFA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here