- Ratiba ya yanga sport club, ratiba ya mechi za yanga, ratiba ya mechi za yanga ligi ya tanzania 2022/23, Ratiba Ya mechi za Yanga sport club Nbc premier League 2022/23, yanga sports club fixture 2022/23
Ratiba Ya mechi za Yanga sport club Nbc premier League 2022/33
Yanga sport club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1935, ambayo makao makao makuu ya timu hii ni Dar es salaam mtaa wa Jangwani Kariakoo.
Timu hii inashiriki ligi kuu ya Tanzania bara, na imefanikiwa kuchukua ubingwa Mara 28, na msimu wa mwaka 2021/22 imechukua ubingwa bila ya kupoteza mechi yoyote, timu hii ilishinda mechi 22 na kutoa sare 8.
Ratiba ya mechi za Yanga Nbc premier league 2022/23.
September 6
Yanga sport club vs Azam football club ( Benjamin mkapa national stadium)
26 September 2022
Yanga vs Mtibwa ( Benjamin Mkapa National Stadium )
29 September 2022
Ihefu vs Yanga (Sokoine Stadium, Mbeya )
3 October 2022
Ruvu Shooting vs Yanga (Benjamin Mkapa National Stadium )
13 October 2022
Namungo Fc vs Young Africans (Majaliwa Stadium, Lindi )
23 October 2022
Yanga vs Simba ( Benjamin Mkapa National Stadium )
26 October 2022
Yanga vs KMC ( Benjamin Mkapa National Stadium )
29 October 2022
Geita Gold vs Yanga (CCM Kirumba Mwanza )
13 November 2022
Kagera Sugar vs Yanga (Kaitaba Stadium,Kagera )
17 November 2022
Yanga vs Singida United ( Benjamin Mkapa National Stadium )
22 November 2022
Dodoma Jiji vs Yanga (Jamhuri Stadium, Dodoma)
Ratiba Yanga Sc nbc premier League 2022/2023 SECOND ROUND
17 December 2022
Yanga sc vs Polisi Tanzania ( Benjamin Mkapa National Stadium )
20 December 2022
Yanga sc vs Coastal Union (Benjamin Mkapa National Stadium )
25 December 2022
Azam vs Yanga (Azam Complex , Dar Es Salaam )
31 December 2022
Mtibwa Sugar vs Yanga Sc (Manungu Complex )
31 January 2023
Yanga vs Ihefu (Benjamin Mkapa National Stadium )
5 February 2023
Yanga vs Ruvu Shooting (Benjamin Mkapa National Stadium )
14 February 2023
Yanga vs Namungo (Benjamin Mkapa National Stadium )
TBA
Simba vs Yanga (Benjamin Mkapa National Stadium )
17 March 2023
KMC vs Yanga (Benjamin Mkapa National Stadium )
8 April 2023
Yanga vs Geita Gold (Benjamin Mkapa National Stadium )
12 April 2023
Yanga vs Kagera (Benjamin Mkapa National Stadium )
25 April 2023
Singida Big Stars vs Yanga (Liti Stadium Singida )
TBA
Yanga vs Dodoma Jiji (Benjamin Mkapa National Stadium )
24 May 2023
Mbeya City vs Yanga (Sokoine Stadium, Mbeya )
27 May 2023
Prisons vs Yanga (Sokoine Stadium, Mbeya )
Timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa nyumbani, na raisi wa timu hii ni Eng.Hersi said.
Wapinzani wakuu wa yanga sport club ni timu ya Simba sport club na timu hizi zinapokutana inakuwa ni moja ya tukio kubwa Afrika mashariki.