Ratiba ya mechi za yanga Ligi kuu, Ratiba ya mechi za yanga Tanzania premier league, Ratiba ya mechi za yanga, Ratiba ya mechi young Africans, Ratiba ya Mechi za Yanga sc NBC Premier league 2022/2023.

Ratiba ya Mechi za Yanga sc NBC Premier league 2022/2023.

Yanga ni klabu ya soka Tanzania bara ambayo inapatikana kariakoo Dar es salaam, ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na kupewa  jina la utani  young boys na baadae kubadili jina na kuitwa yanga sc imeshinda mataji 28 ya ligi na idadi ya vikombe vya nyumbani, pamoja na kushiriki katika misimu mbalimbali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF. Wana Mashindano matano ya Klabu ya CECAFA, kocha mkuu wa klabu hii ni Nasrine Mohammed Nabi raia wa uturuki.

Klabu hiyo ilihusishwa na harakati za kupinga ukoloni. Vijana wa Kiafrika waliotambulika na wapenda utaifa na wapigania uhuru, wakihamasisha chama cha siasa cha TANU kutumia njano na kijani kama rangi zake kuu. Klabu hiyo kwa sasa ipo katika harakati za kubakisha 49% ya umiliki wa klabu kwa wawekezaji na 51% iliyobaki kwa wanachama wa klabu.

  • Young Africans SC vs Geita Gold FC (Mkapa Stadium, Dar es Salaam
  • Young Africans SC vs Kagera Sugar FC (Mkapa, Stadium Dar es Salaam)
  • Simba SC vs Young Africans (Mkapa Stadium, Dar)
  • Singida Big Stars FC vs Young Africans SC (Liti Stadium, Singida)
  • Young Africans SC vs Dodoma Jiji FC (Mkapa Stadium Dar es Salaam)
  • Mbeya City FC vs Young Africans SC (Sokoine Stadium, Mbeya)
  • Tanzania Prisons FC vs Young Africans SC (Sokoine Stadium, Mbeya)

Ili klabu ya yanga iweze kutangaza ubingwa wake klabu hii inapaswa kushinda michezo minne katika saba iliobaki ili iweze kutangaza ubingwa wake kabla ya kukamilisha ratiba yake ya ligi kuu ya soka ya NBC.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here