Ratiba Azam Sports Federation Cup 2021/2022 ASFC Fixture,Ratiba ASFC 2021/2022, Ratiba Round ya tatu Azam Sports Federation Cup 2021/2022,Ratiba Azam Sports Federations Cup Nusu Fainali 2021/2022 Ratiba Azam Sports Federation Cup 2021 ASFC
Michuano ya Kombe la FA Tanzania (pia inaitwa Azam Sports Federation Cup) ni michuano ya mtoano bora katika soka la Tanzania , michuano hii inajumuisha jumla ya timu 64 na mwisho hushindana na kupatikana timu moja ambayo itaenda kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa ya CAF Cofedaration cup.
Mashindano yaliyopita klabu ya Yanga sc ya Dar es salaam ndio iliweza kuchukua ubingwa wa michuano hii ya ASFC, kwa kuishinda klabu ya coastal Union kutoka mkoani Tanga.
Fountain Gate vs Rhino
JKT Tanzania vs Biashara United
Kigoma kwanza vs Buhaya fc
Nduguti Stars vs Gwambina FC
African Lyon vs Mbuni
Cosmopolitan vs mbeya kwanza fc
Majimaji vs Kengold fc
Mashujaa fc vs Pamba fc
Polisi katavi vs Mbeya road
Mbao fc vs Mapinduzi
Silent Ocean vs Copco
Magereza vs Pan Africans
New Dandii vs E4M FC
Afya vs Africans Sports
Nzega vs KFC
Green vs Stand United
Geita Gold FC vs Transt Camp
Ihefu FC vs Mtama Boys
Kagera Sugar vs Bugare FC
Ruvu Shooting FC vs Ndanda FC
Dodoma Jiji FC vs TMA Stars
Namungo FC vs Kitayose
Polisi Tanzania vs Nyika FC
Mbeya City FC vs Stand FC (Mtwara)
Mtibwa Sugar vs TRA (Kilimanjaro)
Prisons vs Misitu FC (Tanga)
Singida Big Stars vs Lipuli FC
Coastal Union vs Tanga Middle
KMC FC vs Tunduru Korosho
Azam FC vs Malimao FC (Katavi)
Young Africans vs Kurugenzi FC
Simba SC vs Eagle FC