George mpole aachana na Geita gold, George mpole avunja mkataba na Geita gold, George mpole sio mchezaji wa Geita Gold, Geita gold yaachana na George mpole rasmi, Rasmi George Mpole aachana na klabu ya Geita gold

Rasmi George Mpole aachana na klabu ya Geita gold.

Klabu ya Geita gold imefikia makubaliano ya pande zote mbili na kuamua kuachana na mchezaji wake George mpole, mchezaji huyu ameitumikia timu hii na ameweza kupata mafanikio na timu hio ambapo katika msimu uliopita ndie alikuwa kinara wa mabao katika ligi kuu Tanzania bara.

Mwanzo Ilisemekana George mpole aligoma kuongeza mkataba na klabu hi ya Geita kushawishika na kuweza kusaini mkataba wa miaka miwili ambao umevunjwa leo rasmi.

George mpole mchezaji wa soka la kulipwa Tanzania bara, mchezaji huyu ni raia wa Tanzania anacheza katika nafasi ya ushambuliaji, mchezaji huyu ana umri wa miaka 24.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here