Peterson dà cruz avunja mkataba na Singida BS, mbrazil Singida ang’atuka , Singida BS yafikia makubaliano ya kuachana na Peterson dà cruz , mbrazil Singida ndo hivo tena,mbrazil singida ndi byebye

Peterson dà cruz avunja mkataba na Singida BS

 

 

Peterson dã cruz alimaarufu “spider man” aliyekuwa mchezaji wa Singida BS raia wa Brazil anaechaeza katika eneo la ushambuliaji amefikia makubaliano ya pande zote mbili na klabu yake ya Singida BS ya kuvunja mkataba , hii ni baada ya mbrazil huyo kutimkia kwao kwa matatizo ya kifamilia ambapo alipaswa arudi japo familia yake na matatizo yake inambidi asiwe mbali na familia yake  na Singida BS itabakiwa na waBrazil watatu kwa sasa ambao ni Bruno Gomez, Rodrigo na Carno.

 

Singida BS

Singida BS ,  klabu ambayo imepanda daraja msimu huu kucheza NBC premier league  yenye makazi yake huko mkoani Singida  na kutumia unwanja wa Liti kama uwanja wao wa nyumbani , ambapo ilifanikiwa kufanya saini mbalimbali za nyota wakubwa waliowahi kuchezea vilabu vikongwe hapa Tanzania na wengine kutoka bara la America kwenye nchi kama za Brazil na Argentina, hivo kuwafanya kuwa timi yenye ushindani mkubwa kwenye ligi hadi kwa sasa kuwa nafasi ya nne kwenye msimamo, ambapo pia imefanjkiwa kuwa na udhamini mnono kutoka kwenye kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Sport pesa na mkataba wa vifaa vya michezo na kampuni ya Vunjabei.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here