Pambano la mwakinyo kurudiwa kwa Mara nyingine January 23, Bondia Hassan aomba pambano la marudiano dhidi ya Smith January 23,Mwakinyo kuridia pambano January 23, Mwakinyo kupigana tena January 23
Pambano la Hassan Mwakinyo kurudiwa january 23
Bondia Hassan Mwakinyo kazungungumza Leo kutokana na pambano lake lililopita kupoteza kutokana na refa wa pambano hilo kutokuwa fair ameamua kuomba pambano la marudiano, promota Benjamin Shalom amekubali pambano hilo liweze kurudiwa January 23 mwaka 2023.
Usiku wa September 3 Bondia Hassan Mwakinyo alipoteza pambano lake dhidi ya bondia wa uingereza Liam Smith, pambano hili lilichezwa jijini Liverpool uingereza, bondia mwakinyo alipoyeza kwa TKO round ya 4 pambano lilikua la round 12, pambano hili lilimalizika kwa utata na kufanya kuwa gumzo.http://Wasomiajira.com
Bondia huyu Hassan mwakinyo baada ya pambano hilo aliweza kutoa sababu ambazo ziliweza kupelekea yeye kupoteza pambano lake moja ya sababu alioitoa ni kutokupatikana kwa begi lake ambalo lilikua na vifaa ambavyo angevitumia katika pambano lake hivyo kufanya yeye kuvaa viatu ambavyo anadai viatu vile vilikua vinambana na kupelekea kupata tatizo la enka.
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa taarifa hii ya pambano lake dhidi ya Mwingereza Liam Smith kurudiwa katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
https://tanzaniatrends.com/yanga-inapaswa-kupunguza-mchezaji-mmoja-sababu-ya-ujio-wa-kisinda/
Historia ya bondia Hassan Mwakinyo
Halfan Hythani Hamza (maarufu kama Hassan Mwakinyo; alizaliwa 15 machi 1995 mkoani Tanga) ni mtaalamu wa mchezo wa masumbwi na ngumi za kulipwa kutoka nchini Tanzania. Ni mwanamasumbwi wa uzito wa kati. Mpaka mwaka 2018 Mwakinyo alikuwa anashika namba 235 kidunia na namba 1 barani Afrka katika ndondi za uzito wake.
Amekuwa akijihusisha na mchezo wa masumbwi tangu mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 25. Ana kimocha futi 5 na inchi8.
Bondia huyu mpaka sasa amepigana mapambano 23 na kushinda mapambano 14 kwa KO na kupoteza mapambano 3 na kushinda kwa point mapambano 7.Pambano la Hassan Mwakinyo kurudiwa january 23