Msimamo NBC Tanzania Premier League 2022/2023 Table Standings,Msimamo ligi kuu NBC Premier League 2022/2023 Tanzania,Msimamo NBC Tanzania Premier League 2022/2023 NPL Standings,Ratiba NBC,Ratiba NBC Premier League,Msimamo NBC Premier League, Wafungaji bora NBC Premier League, NBC Premier League Standings 2022/2023,Tanzania Premier League Table Standings 2022/2023,Msimamo Ligi Kuu NBC Tanzania Premier League 2022/2023,Msimamo NBC Premier League 2022/23.
Msimamo wa Nbc premier league 2022/23
NBC ni benki ambayo inazamini ligi kuu Tanzania bara na kufanya ligi hii kuitwa NBC premier league na kutokana na uzamini huu umefanya soka la Tanzania kukua na kuwa na ushindani na imeweza kuibua vipaji vya watu.
Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).
Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.
Yanga sc imewahi kufiika katika hatua ya mkundi katika ligi ya mabingwa Afrika na kushindwa kuendelea katika hatua inayofuata ya robo fainali.
Yanga sc imetwaa ubingwa wa ligi ya Tanzania Mara ishirini na nane, pia kombe la shirikisho ASFC Mara tatu, Ngao ya jamii Mara sita na idadi hii ya makombe ndio imefanya timu hii kuwa na idadi kubwa ya mashabiki.
Wapinzani wakubwa wa timu ya Yanga sc ni klabu ya Simba sc ambayo nayo inapatikana kariakoo msimbazi na zinapokutana timu hizi inakuwa ni moja ya mechi kubwa katika ukanda wa Afrika mashaiki.
Klabu hii ya yanga imeingia mkataba na kampuni ya michezo ya kubashiri Sportpesa kama mdhamini mkuu wa timu hio kwa mda wa miaka mitano, pia imaeingia mkataba na kampuni ya GSM mkataba huu unahusisha.
Msimamo wa Nbc premier league 2022/23
Simba Sports Club ni timu ya soka ya Tanzania yenye makao yake makuu Kariakoo, Dar es Salaam.
Kwa kumuenzi Mtukufu Malkia wa Uingereza, klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 na kutengana na timu nyingine ya Tanzania Giants, ilipewa jina la Queens. Klabu hiyo imekuwa ikijulikana kama Queens, Eagles, na hatimaye Sunderland, Waliitwa Simba mwaka 1971.
Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na kuwa moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita. Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Simba inapocheza michezo yake ya nyumbani.
Simba ndio timu ya soka iliyo na akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi mwaka 2022, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ongezeko la 89% kutoka mwaka uliopita.
Klabu hiyo ni miongoni mwa timu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na bajeti ya Sh Bilioni 6.1 (kama dola milioni 5.3) kwa msimu wa 2019/2020.