Moses Phiri mchezaji bora wa mashabiki September 2022, Moses Phiri kashinda mchezaji bora wa mashabiki mwezi September, Moses Phiri achukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi September 2022, Moses Phiri achukua tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi September 2022, Moses Phiri Mchezaji bora wa mwezi september

Moses Phiri Mchezaji bora wa mwezi september.

Moses Phiri mchezaji wa klabu ya Simba sc raia wa Zambia ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi September, mchezaji huyu anacheza katika nafasi ya mshambuliaji na ndie mshambuliaji tegemezi mpaka sasa katika klabu ya simba akiwa na mabao manne  wa klabu hii.

Tuzo hii ya mashabiki huchagua mchezaji mmoja ambae wanamkubali na kumpigia kura anaeibuka mshindi anakabiziwa pesa taslimu milioni mbili 2,000, 000/= na kampuni ya Emirate Aluminium ACP.

Moses Phiri amezaliwa tarehe 3 mwezi wa sita 1993 katika mji wa Lusaka, Zambia ana urefu wa futi 5 na inch , anacheza nafasi ya mshambuliaji kiongozi kabla ya kujiunga na klabu ya sc amewahi kucheza katika klabu ya Zanaco ya nchini kwao Zambia na kisha kujiunga na klabu ya simba sc.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936, iliyojitenga na Giant nyingine ya Tanzania, Dar Young Africans iliitwa Queens, kwa heshima ya Majesty, Malkia wa Uingereza. Klabu ilikuwa na mabadiliko kadhaa ya majina kutoka Queens hadi Eagles, kisha, Sunderland. Mwaka 1971 waliitwa Simba (Simba) kwa Kiswahili.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi. Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba sc inacheza   mechi zao za nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mnamo 2022, Simba ilikuwa akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi kati ya vilabu vya soka, ikiwa na wafuasi mili.oni 1.9 na ukuaji wa 89% kutoka mwaka uliopita.

Klabu hiyo ni miongoni mwa timu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh Bilioni 6.1 (sawa na dola milioni 5.3) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here