Mayele na Inonga waitwa timu ya taifa, Fiston Mayele na Ingonga baka watajwa kucheza timu ya taifa

Mayele na Inonga waitwa timu ya taifa Congo

Mshambuliaji kiongozi wa klabu ya Yanga sc Fiston kalala Mayele pamoja na beki kitasa wa simba sc Henock Inonga baka raia wa Congo wameitwa kuitumikia timu yao ya taifa ya Congo katika michuano ya Africon, wachezaji hawa wamekuwa wakizitumikia timu zao kwa mapenzi makubwa na kufanya vizuri katika timu zao hivyo kupelekea mpaka kuitwa katika timu yao ya taifa.

Mpaka sasa mshambuliaji huyu wa klabu ya Yanga Fiston mayele ndie kinara  wa mabao katika timu yake na ligi kuu ya Nbc kwa ujumla akiwa na jumla ya mabao 15, pia alimaliza katika nafasi ya pili akiwa na jumla ya magoli 16 .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here