Matokeo ya Yanga sc vs Kurugenzi fc leo desember 11, Matokeo ya Yanga sc vs Kurugenzi fc Azam sports federation cup, Matokeo ya Yanga vs Kurugenzi live updates, Matokeo ya Yanga vs Kurugenzi fc today’s match, Matokeo ya Yanga vs Kurugenzi, Matokeo ya Yanga sc vs Kurugenzi fc desember 11, 2022.

Matokeo ya Yanga sc vs Kurugenzi fc desember 11, 2022.

Yanga ni klabu ya soka Tanzania bara ambayo inapatikana kariakoo Dar es salaam, ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na kupewa  jina la utani  young boys na baadae kubadili jina na kuitwa yanga sc imeshinda mataji 28 ya ligi na idadi ya vikombe vya nyumbani, pamoja na kushiriki katika misimu mbalimbali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF. Wana Mashindano matano ya Klabu ya CECAFA, kocha mkuu wa klabu hii ni Nasrine Mohammed Nabi raia wa uturuki.

Klabu hiyo ilihusishwa na harakati za kupinga ukoloni. Vijana wa Kiafrika waliotambulika na wapenda utaifa na wapigania uhuru, wakihamasisha chama cha siasa cha TANU kutumia njano na kijani kama rangi zake kuu. Klabu hiyo kwa sasa ipo katika harakati za kubakisha 49% ya umiliki wa klabu kwa wawekezaji na 51% iliyobaki kwa wanachama wa klabu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here