Matokeo ya Yanga sc dhidi Zalan Fc CAF Champions league 2022/23, Matokeo ya Yanga dhidi ya Zalan Fc ya Sudan, Matokeo ya Yanga dhidi ya Zalan fc Leo, Matokeo ya Yanga CAF Champions league, Matokeo ya Yanga dhidi ya Zalan fc CAF Champions league 2022/23.

Matokeo ya Yanga dhidi ya Zalan fc CAF Champions league 2022/23.

Yanga sc dhidi Zalan fc mechi ya marudiano katika ligi ya mabingwa Afrika katika hatua ya awali baada ya mechi ya kwanza Zalan fc kupoteza mechi ya kwanza akiwa nyumbani kwa mabao manne.

Matokeo ya Yanga sc dhidi ya Zalan Fc

1′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

2′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

3′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

5′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

7′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

9′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

11′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

13′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

15′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

17′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

19′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

21′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

23′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

25′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

27′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

29′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

31′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

33′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

35′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

37′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

39′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

41′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

43′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

45′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

HALF TIME

Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

SECOND HALF

45′ Yanga sc 0-0 Zalan Fc ( CAF Champions league 2022/23)

47′ Yanga sc 1-0 Zalan Fc (47’Farid,  CAF Champions league 2022/23)

49′ Yanga sc 1-0 Zalan Fc (47’Farid,  CAF Champions league 2022/23)

51′ Yanga sc 1-0 Zalan Fc (47’Farid,  CAF Champions league 2022/23)

53′ Yanga sc 1-0 Zalan Fc (47’Farid,  CAF Champions league 2022/23)

55′ Yanga sc 1-0 Zalan Fc (47’Farid,  CAF Champions league 2022/23)

56′ Yanga sc 2-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz  CAF Champions league 2022/23)

58′ Yanga sc 2-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz  CAF Champions league 2022/23)

60′ Yanga sc 3-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60’Mayele,   CAF Champions league 2022/23)

62′ Yanga sc 4-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

65′ Yanga sc 4-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

67′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

69′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

71′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

73′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

76′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

79′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

81′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

83′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

85′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

89′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

90′ Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

FULL TIME 

Yanga sc 5-0 Zalan Fc (47’Farid,56’Aziz, 60′, 62′, 67’mayele,   CAF Champions league 2022/23)

Historia ya yanga sc 

Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika  ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).

Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.

Yanga sc imewahi kufiika katika hatua ya mkundi katika ligi ya mabingwa Afrika na kushindwa kuendelea katika hatua inayofuata ya robo fainali.

Yanga sc imetwaa ubingwa wa ligi ya Tanzania Mara ishirini na nane,  pia kombe la shirikisho ASFC Mara tatu, Ngao ya jamii Mara sita na idadi hii ya makombe ndio imefanya timu hii kuwa na idadi kubwa ya mashabiki.

Wapinzani wakubwa wa timu ya Yanga sc ni klabu ya Simba sc ambayo nayo inapatikana kariakoo msimbazi na zinapokutana timu hizi inakuwa ni moja ya mechi kubwa katika ukanda wa Afrika mashaiki.

Klabu hii ya yanga imeingia mkataba na kampuni ya michezo ya kubashiri Sportpesa kama mdhamini mkuu wa timu hio kwa mda wa miaka mitano, pia imaeingia mkataba na kampuni ya GSM mkataba huu unahusisha jezi na unakaa kwa mda wa miaka mitano.

Klabu hii ina uongozi ambao unaiongoza vyema klabu hii Raisi wa klabu ya Yanga sc ni  eng. Hersi said ambeye alichaguliwa kuwa raisi wa klabu hii.

Historia ya Zalan Fc Kutoka Sudan kusini

Zalan fc ni timu toka Sudan kusini, timu hii inashiriki ligi kuu ya sudani kusini na haina mafanikio makubwa katika ligi hii maana ndio imetwaa ubigwa kwa Mara ya kwanza katika ligi hio.

Zalan fc haina mafanikio makubwa kutokana na kukosa wadhamini katika timu yao na ligi yao ya Sudan kusini kwa ujumla, ligi hii ya sudani kusini haina wadhamini wowote kutokana na hali ya vita vinavyoendelea katika nchi hio na hata timu hizi zinazoshiriki ligi kuu ya Sudan kusini ni kutokana na mapenzi ya mpira walionayo wachezaji  hao.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here