Matokeo ya Polisi Tanzania vs Azam fc leo, Matokeo ya polisi Tanzania vs Azam today’s match, Matokeo ya Polisi Tanzania vs Azam fc live updates, Matokeo ya polisi Tanzania vs Azam Nbc premier league 2022/2023, Matokeo ya Polisi Tanzania vs Azam fc, Matokeo ya polisi Tanzania vs Azam fc desember 5, 2022.
Matokeo ya polisi Tanzania vs Azam fc desember 5, 2022.
Leo desember 5 katika ratiba ya ligi kuu Tanzania bara kuna mchezo wa Polisi Tanzania kutoka Moshi akimkalinisha mwenyeji wa mchezo klabu ya Azam fc, mchezo huu utakuwa katika uwanja wa ushirika uliopo moshi ambao ndio uwanja wa nyumbani wa klabu ya Polisi Tanzania.
Mchezo huu unachezwa majira ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki na timu zote zitakuwa zikipambana kutafuta alama tatu muhimu ili kuweza kusogea katika nafasi nyingine katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara, Polisi Tanzania inaingia katika mchezo wa leo kuzitafuta pointi tatu ikiwa na jumla ya point 9 na ikishika nafasi ya mwisho katika msimamo wa ligi, na Azam fc inaingia na point 32 ikiwa katika nafasi ya tatu na inahitaji alama tatu ili kuweza kusogea katika nafasi ya pili ambayo inagombaniwa na klabu ya simba sc.
1′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
3′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
5′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
7′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
9′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
11′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
13′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
15′ Polisi Tanzania fc 0-0 Azam fc ( Nbc premier league 2022/2023)
17′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
19′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
21′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
23′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
25′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
27′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
29′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
31′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
33′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
36′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
39′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
41′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
43′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
45′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
HALF TIME
Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
SECOND HALF
45′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
47′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
49′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
51′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
55′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
57′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
59′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
61′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
63′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
65′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
67′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
69′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
72′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
74′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
78′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
80′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
82′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
84′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
86′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
88′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
90′ Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
FULL TIME
Polisi Tanzania fc 0-1 Azam fc (17′ lyanga, Nbc premier league 2022/2023)
Azam fc
Azam fc ni timu ya Soka ya Tanzania inayoshiriki ligi kuu Tanzia bara, ambayo makazi yake yanapatikana Chamazi, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania, ni klabu ya soka ya kulipwa inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania. Klabu hiyo ambayo mara nyingi hujulikana kwa jina la “Wana Lambalamba, Chamazi Millionaires, or the Bakers,” ilianzishwa mwaka 2004 ikiwa ni Mzizima Football Club, ikabadili jina na kuitwa Azam Sports Club mwaka 2005, Azam Football Club mwaka 2006, na kuhamia uwanja wake wa sasa. Azam Complex Chamazi, mwaka 2010. Azam FC imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu, Kombe la Mapinduzi matano, Kombe la Kagame mara mbili, Kombe la Shirikisho la Azam Sports moja na Ngao ya Jamii moja.
Ni moja ya klabu tajiri katika soka la Tanzania maana ndio klabu pekee yenye kiwanja cha mpira na inaibuwa vipaji vya watoto kupitia academ, licha ya kumiliki uwanja Azam fc ndio timu yenye gari la gharama kuliko vilabu vyote vya soka Tamzania hii ni kutokana na kuwa na mwekazaji bora katika klabu hii.