Matokeo ya ligi ya mabingwa ulaya September 13, UEFA champion league results September 13, matokeo ya UEFA Champions league September 13, Matokeo Ya ligi Ya mabingwa barani ulaya September 13.
Matokeo Ya ligi Ya mabingwa barani ulaya September 13.
ligi ya mabingwa barani ulaya (UEFA) ni moja ya ligi bora katika bara la ulaya, ligi hii inahusisha ngazi ya klabu bora zinazobeba ubingwa katika ligi tofauti tofauti katik bara hilo.
Matokeo UEFA champions league September 13.
Group A
Liverpool 2-1 Ajax
Group B
Leverkusen 2-0 Atletico madrid
Fc Porto 0-4 Fc Brugge
Group C
Victorian plzen 2-0 Inte Milan
Buryen Munich 2-0 Barcelona
Group D
Sporting Cp 2-0 Tottenham
Marseille 0-1 Frankfurt
Historia ya ligi ya mabingwa barani ulaya (UEFA champions league)
Uefa champion league ni shindano linaloandaliwa kila mwaka , shindano hili linaandaliwa na muunganiko wa vyama vya soka barani ulaya.http://Tanzaniatrends.com
Shindano hili linahusisha vilabu vinavyoshinda nafasi za juu katika ligi mbalimbali za bara la ulaya, ni moja ya mashindano makubwa na yenye mvuto barani ulaya.http://Wasomiajira.com
Mara ya kwanza mashindano haya ya ligi ya mabingwa yalianzishwa mjini Paris mwaka 1955, ligi hii inahusisha timu 32 katika hatua ya makundi.
Historia ya timu zilizowahi kubeba kombe la UEFA champions league
Real Madrid=12
Ac Milan=7
Buryen Munich=5
Barcelona=5
Liverpool=5
Ajax=4
Manchester united=3
Juventus=2
Benfica=2
Fc porto=2
Notthingham forest=2
Aston villa=1
Chelsea=1
Dortmund=1
Marseille=1
Feyenoord=1
Humburg fc=1.