Matokeo ya Coastal union vs simba sc live update, Matokeo ya Coastal union vs Simba sc leo, Matokeo ya Simba vs Coastal union, Simba vs Coastal union ligi kuu tanzania bara 2022/2023, Matokeo ya coastal union vs Simba sc Nbc premier league 2022/2023, Matokeo ya Simba vs coastal union today’s match, Matokeo ya coastal union vs Simba sc Tanzania premier league, Matokeo ya coastal union fc vs Simba sc December 3, Matokeo ya Coastal Union fc vs Simba sc leo desember 3, 2022
Matokeo ya Coastal Union fc vs Simba sc leo desember 3, 2022.
Leo December 3 kuna mechi ya Nbc premier league kati ya coastal union vs Simba sc ambayo itakua ikichezwa katika uwanja wa mkwakwani Tanga ambao ndio uwanja wa nyumbani wa klabu ya coastal Union mchezo huu utakuwa ukichezwa majira ya saa kumi jioni.
Klabu ya coastal union ipo nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara ikiwa na idadi ya point 12, na simba sc ipo nafasi ya pili katika msimamo ikiwa na point 32.
1′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
3′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
5′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
7′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
9′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
11′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
13′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
15′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
17′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
19′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
21′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
22′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
24′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
26′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
28′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
30′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
32′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
34′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
36′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
38′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
40′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
42′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
44′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
45′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
HALF TIME
Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
SECOND HALF
45′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
47′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
49′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
51′ Coastal Union fc 0-0 Simba sc ( Nbc premier league 2022/2023)
54′ Coastal Union fc 0-1 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
56′ Coastal Union fc 0-1 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
58′ Coastal Union fc 0-1 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
60′ Coastal Union fc 0-1 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
62′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
64′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
66′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
68′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
70′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
72′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
74′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
76′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
78′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
80′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
82′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
84′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
86′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
88′ Coastal Union fc 0-2 Simba sc (54’Phiri Nbc premier league 2022/2023)
89′ Coastal Union fc 0-3 Simba sc (54′, 61′, Phiri, 89′ Chama, Nbc premier league 2022/2023)
90′ Coastal Union fc 0-3 Simba sc (54′, 61′, Phiri, 89′ Chama, Nbc premier league 2022/2023)
HALF TIME
Coastal Union fc 0-3 Simba sc (54′, 61′, Phiri, 89′ Chama, Nbc premier league 2022/2023)
Simba sc
Simba Sports Club ni timu ya soka ya Tanzania yenye makao yake makuu Kariakoo, Dar es Salaam.
Kwa kumuenzi Mtukufu Malkia wa Uingereza, klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 na kutengana na timu nyingine ya Tanzania Giants, ilipewa jina la Queens. Klabu hiyo imekuwa ikijulikana kama Queens, Eagles, na hatimaye Sunderland, Waliitwa Simba mwaka 1971.
Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na kuwa moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita. Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Simba inapocheza michezo yake ya nyumbani.
Simba ndio timu ya soka iliyo na akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi mwaka 2022, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ongezeko la 89% kutoka mwaka uliopita.
Klabu hiyo ni miongoni mwa timu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na bajeti ya Sh Bilioni 6.1 (kama dola milioni 5.3) kwa msimu wa 2019/2020.
Coastal union
Coastal union ni klabu ya soka inayocheza ligi kuu Tanzania bara, makao makuu ya timu hii yanapatikana mkoani Tanga na ni moja ya timu zenye mafanikio makubwa katika soka la Tanzania .
Wanacheza katika kiwango cha juu cha kandanda ya kulipwa ya Tanzania, Ligi Kuu ya Tanzania. Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani. Na zimedhaminiwa rasmi na Binslum Tyre, Anjari Q, Masamaki Modern Butchers.