Nabi kukosa michezo mitatu Nbc premier league, Nabi kukosa mechi tatu za ligi kuu Tanzania bara, Nabi kutokuwepo michezo mitatu ya ligi kuu, Kocha Nasrine bin Nabi afungiwa mechi tatu Nbc premier league
Kocha Nasrine bin Nabi afungiwa mechi tatu Nbc premier league.
Nasrine Nabi ni raia wa Tunisia na ni kocha mwenye leseni ya Uefa pro kocha huyu ni mzoefu katika soka la Afrika maana amewahi kufundisha klabu mbalimbali na zenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika baadhi ya klabu ambazo amewahi kuzifundisha kocha Nabi ni al Hilal, Al merrik, Ismaily, pdha na kwa sasa anafundisha klabu ya yanga sc.
Kocha huyu amefikia mafanikio makubwa na klabu hii mafanikio hayo amechukua kombe la ligi ya Tanzania bara pamoja na kombe la shirikisho na ameifikisha yanga sc katika hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika, pia kocha Nabi ameweka historia ya michezo 49 mfululizo bila ya kupoteza mchezo hata mmoja.
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga sc Nasrine bin Nabi afungiwa mechi tatu za ligi kuu ya Nbc premier league kwa kosa la kumfokea mwamuzi wa kati pamoja na mwamuzi wa akiba katika mchezo wa Ihefu uliochezwa jijini mbeya na kumalizika kwa klabu ya Yanga kupoteza mchezo huo kwa mabao mawili kwa moja.
Mechi ambazo kocha Nasrine bin Nabi atazikosa ni polisi Tanzania, Namungo,na Kurugenzi fc.
- Wafungaji bora kombe la dunia 2022, Qatar
- Ratiba ya mechi za kombe la dunia Qatar 2022
- Ratiba ya Azam sport federation cup 2022/2023 ASFC