KMKM yaondolewa mashindano ya shirikisho Afrika, KMKM yaondoshwa katika michuano ya shirikisho barani Afrika, KMKM imeshindwa kuendelea mashindano ya Shirikisho barani Afrika, KMKM Yatolewa CAF Confedaration cup

KMKM Yatolewa CAF Confedaration cup.

Klabu ya KMKM kutoka Zanzibar imepoteza michezo yake yote miwili ugenini pamoja na nyumbani dhidi ya klabu ya  Ahl Tripod ya misri kwa matokeo ya jumla mabao 6 kwa bila, ambapo mchezo wa nyumbani KMKM ilipoteza kwa mabao mawili na Leo katika mchezo wa ugenini imepoteza kwa mabao manne kwa bila.

Historia ya KMKM

KMKM ni klabu ya mpira wa miguu ambayo kirefu chake ni “Kikosi cha kuzuia magendo” klabu hii makao makuu yake yapo Unguja, Zanzibar, inatumia uwanja uliopo mjini unguja kama uwanja wa nyumbani.

Klabu ya KMKM inashiriki ligi kuu ya Zanzibar .

Klabu hii imewahikushiriki michuano hii ya CAF kwa mara ya kwanza ilikua 2005 hivyo ilikuwa na uzoefu mkubwa katika michuano hio, hivyo inarejea nyumbani Zanzibar na kujipanga ili kuweza kuendelea na ligi kuu ya Zanzibar na pia kujiandaa na michuano ya CAF katika msimu ujao .

Baadhi ya mafanikio ambayo Klabu ya KMKM imewahi kuyafikia ni pamoja na kuchukua mara moja ligi kuu Tanzania bara, mara sita ligi kuu Zanzibar , ligi ya nyerere mara tatu pamoja na ligi ya mapinduzi mara moja.KMKM Yatolewa CAF Confedaration cup

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here