Klabu ya Kmc yapata udhamini na kampuni ya meridian, kmc yasaini mkataba na meridian bet,
Klabu ya Kmc imeingia mkataba wa udhamini na meridian Bet
Klabu ya KMC imesaini mkataba na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya meridian kampuni hii imesaini mkataba wa miaka mitatu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ndani wa manispaa ya kinondoni na kiasi cha pesa hakikuwekwa wazi katika mkutano huo waliofanya.
Katika press hio meya wa manispaa ya kinondoni alikuepo katika zoezi la uwekaji saini pia mkurugenzi wa kampuni hio ya kubashiri ya meridian aliokua ni mmoja ya watu waliokuwepo katika mkutano huo, pia uongozi wa klabu ya KMC umeishukuru kampuni ya meridian kwa uzamini huo.
- https://tanzaniatrends.com/chama-kawa-mchezaji-bora-wa-mwezi-kwa-mashabiki/
Hivyo mpaka sasa mzamini mkuu wa klabu ya KMC ni kampuni hii ya meridian mpaka ifikipo mwaka 2025 ambapo mkataba huo itamlizika, kabla ya kampuni hii kuingia mkataba na klabu ya KMC ilikua ikidhamini ligi za mtaani imekuwa ikifanya udhamini huu kwa lengo la kuweza kukuza vipaji vya vijana wa mtaani.http://Wasomiajira.com
Klabu ya Kmc imeingia mkataba wa udhamini na meridian Bet
Pia kampuni hii imewahi kuzamini klabu moja inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania bara klabu hio ni Pan Africa.
KMC ni klabu ya mpira wa miguu inayopatikana manispaa ya Kinondoni dar es salaam, timu hii ilianzishwa mwaka 2014 na manispaa ya kinondoni na klabu hii imeanza kushiriki ligi kuu Tanzania baramwaka 2018.http://Tanzaniatrends.com
Klabu hii ya KMC haijawahi kuchuka kombe la ligi kuu Tanzania bara wala kombe lolote la mashindano yaliyopo Tanzania, lakini imewahi kufanya vizuri na kuweza kumaliza nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara na kufanya timu hii kuweza kujulikana.
Katika ligi ya Tanzania klabu hii ni moja ya klabu yenye mashabiki ukiachana na vilabu vikubwa vitatu Yanga, Azam na simba, pia KMC ni klabu kubwa katika ligi hii ya Tanzania bara.
Klabu hii ya KMC inatumia uwanja wa Uhuru kama uwanja wa nyumbani uliopo Temeke Dar es salaam.Klabu ya Kmc imepata uzamini na meridian Bet