Kikosi cha Yanga vs Kurugenzi fc today’s,  Kikosi cha Yanga vs Kurugenzi leo, Kikosi cha Yanga vs Kurugenzi fc Azam federation cup 2022/2023, Kikosi cha Yanga vs Kurugenzi fc leo desember 2022.

Kikosi cha Yanga vs Kurugenzi fc leo desember 2022.

Yanga ni klabu ya soka Tanzania bara ambayo inapatikana kariakoo Dar es salaam, ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na kupewa  jina la utani  young boys na baadae kubadili jina na kuitwa yanga sc imeshinda mataji 28 ya ligi na idadi ya vikombe vya nyumbani, pamoja na kushiriki katika misimu mbalimbali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF. Wana Mashindano matano ya Klabu ya CECAFA, kocha mkuu wa klabu hii ni Nasrine Mohammed Nabi raia wa uturuki.

Kikosi cha Yanga 

Klabu hiyo ilihusishwa na harakati za kupinga ukoloni. Vijana wa Kiafrika waliotambulika na wapenda utaifa na wapigania uhuru, wakihamasisha chama cha siasa cha TANU kutumia njano na kijani kama rangi zake kuu. Klabu hiyo kwa sasa ipo katika harakati za kubakisha 49% ya umiliki wa klabu kwa wawekezaji na 51% iliyobaki kwa wanachama wa klabu.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here