Kikosi cha Yanga sc vs Simba leo 23 October 2022 NBC Premier League,Kikosi cha Yanga dhidi ya Simba October 23,2022, kikosi cha yanga vs simba Leo, kikosi cha Yanga sc vs simba today’s, kikosi cha yanga Leo vs simba sc, Yanga vs simba kikosi, Kikosi cha Yanga sc vs simba sc oktoba 23, 2022.

Kikosi cha Yanga sc vs simba sc oktoba 23, 2022.

Timu zote zitaingia uwanjani zikiwa na vita ya ubabe kwa mujibu wa takwimu zao, huku zikiwa zimefungana katika baadhi ya maeneo, ambapo mechi 105, Simba imeshinda mara 26 na Yanga imeshinda mara 38 huku ikitoka sare 42. Atakayeshinda mchezo huo atakuwa sawa. kuwekwa kwenye msimamo wa ligi pamoja na kujijengea heshima.

Ushindi mkubwa zaidi ni wa Simba ambao wameshinda mabao 6-0 kwenye ligi rasmi Julai 19, 1977 ambapo Abdallah Kibadeni alifanikiwa kunyakua hat trick pekee kwenye mchezo huu.

kikosi cha yanga Leo

  1. Djigui Diarra
  2. Djuma Shaban
  3. Kibwana Shomari
  4. Dickson Job
  5. Yannick Bangala Litombo
  6. Halid Aucho
  7. Jesus Moloko
  8. Feisal salum
  9. Fiston mayele
  10. Aziz ki
  11. Tuisila kisinda

Historia ya yanga

Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika  ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).

Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.

Yanga sc imewahi kufiika katika hatua ya mkundi katika ligi ya mabingwa Afrika na kushindwa kuendelea katika hatua inayofuata ya robo fainali.

Yanga sc imetwaa ubingwa wa ligi ya Tanzania Mara ishirini na nane,  pia kombe la shirikisho ASFC Mara tatu, Ngao ya jamii Mara sita na idadi hii ya makombe ndio imefanya timu hii kuwa na idadi kubwa ya mashabiki.

Yanga sc imetwaa ubingwa wa ligi ya Tanzania Mara ishirini na nane,  pia kombe la shirikisho ASFC Mara tatu, Ngao ya jamii Mara sita na idadi hii ya makombe ndio imefanya timu hii kuwa na idadi kubwa ya mashabiki.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here