Kikosi cha yanga sc kitakachoingia nchini Sudan, Kikosi cha yanga sc kinachoenda nchini sudan, Kikosi cha yanga sc dhidi ya Al hilal sudan, Kikosi cha yanga sc kinachoelekea sudan dhidi ya timu Al Hilal, Kikosi cha yanga sc Kinachoelekea Sudan, Kikosi cha yanga kinachosafiri kuelekea sudan.

Kikosi cha yanga kinachosafiri kuelekea sudan.

Klabu ya Yanga imetoa taarifa kuhusu kikosi ambacho kitasafiri kuelekea katika mchezo wa mkondo wa pili sudani dhidi ya klabu ya Al hilal.

Klabu hii imefanya mazoezi ya kutosha kwa mda wa wiki moja mazoezi haya yalikua chini ya kocha mkuu Nasrin Nabi na msaidizi wake Sedrik kaze, na timu itasafiri kuelekea sudani siku ya jumamosi na kusubili mchezo wao dhidi ya Al Hilal utakaochezwa oktoba 16, jumapili majira ya saa tatu usiku.

Mchezo huu wa Yanga utakuwa ukioneshwa live na Azam TV katika channel Ya Azam sport 1 HD , Hii ni baada ya media ya Azam kukubaliana na Al hilal na kuamua kuonesha mchezo huu.

Kikosi kinacho safiri

Yanga sc inahitaji ushindi wowote ili kushiriki katika hatua ya makundi hii ni kutokana na kuweza kutoa sare ya moja moja katika uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es salaam.

Young African Sports Club, pia inajulikana kama Yanga, ni timu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake katika wilaya ya Jangwani jijini Dar es Salaam. Klabu hiyo imekuwepo tangu mwaka 1935 na mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Klabu hiyo inajulikana kwa jina la “Yanga”, maana yake “Wavulana”. Wameshinda ubingwa wa kitaifa mara 28 na vikombe kadhaa vya nyumbani, na wamecheza katika Ligi nyingi za Mabingwa wa CAF. Mara tano wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here