Kikosi cha U-23 Kitakachoingia kambini mwezi Oktoba, Kikosi cha vijana wa U-23 kinachoingia kambini, Kikosi cha U-23 kitaingia kambini oktaba 13, Kikosi cha vijana cha U-23 kitaingia kambini oktoba 13 2022, Timu ya Taifa ya vijana walioitwa kambini oktoba 13 2022, Kikosi cha U-23 Kinatakacho ingia kambini Oktoba 13.

Kikosi cha U-23 Kinatakacho ingia kambini Oktoba 13.

Kocha mkuu wa kikosi cha vijana wa U-23 Hemmed Suleiman Morocco ameita kikosi chake ambacho kitaanza kuingia kambini ifikapo oktoba 13 kujiandaa na mchezo wao dhidi ya timu ya Taifa ya vijana ya Nigeria katika kufuzu Afcon 2022.

Timu hii ya Taifa ya vijana Tanzania iliweza kumtoa Sudan kusini na kuifanya kuweza kuendelea mbele, Timu ya Taifa ya under 23 ya Tanzania ‘Ngorongoro heroes’  ambayo inapambana kutafuta tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON under 23Timu ya Taifa ya under 23 ya Tanzania ‘Ngorongoro heroes’  ambayo inapambana kutafuta tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON under 23.

Kikosi kilichoitwa

 

Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana U-23 linalojulikana kama Michuano ya CAF U-23 ndilo shindano kuu la kimataifa la kandanda kwa mataifa ya CAF, linalochezwa na wachezaji wa chini ya miaka 23. Hufanyika kila baada ya miaka minne huku timu tatu za juu zikifuzu kwa Michezo ya Olimpiki.

Michuano hiyo ilianzishwa mwaka 2011. Tarehe 6 Agosti 2015, Kamati ya Utendaji ya CAF iliamua kubadilisha jina la michuano hiyo kutoka michuano ya CAF U-23 na kuwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana U-23, sawa na toleo la wakubwa, Kombe la Afrika. Mataifa.

Mnamo Julai 2016, Total imepata kifurushi cha udhamini cha miaka minane kutoka kwa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) ili kusaidia mashindano yake kuu 10.  Kutokana na udhamini huu, Kombe la Mataifa ya Afrika kwa U-23 limepewa jina la Total Africa U-23 Cup of Nations.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here