Kikosi cha Tanzania Taifa stars kinachoingia kambini, Tanzania Taifa stars squad against Libya, Kikosi cha Tanzania Taifa stars dhidi ya Libya, Kikosi cha Tanzania taifa stars mechi za kirafiki, Kikosi cha Tanzania Taifa stars.
Kikosi cha Tanzania Taifa stars.
Kocha wa Tanzania Taifa stars Honour janza ameita kikosi cha Taifa star ameita kikosi.
Kikosi hiki kimekuwa na mabadiliko ya wachezaji wengi mabadiliko haya yanatokana na mabadiliko ya benchi la ufundi kuna idadi kubwa ya wachezaji wapya walio ongezwa katika kikosi hiki na baadhi ya nyota kupunguzwa katika kikosi hicho.
Kikosi cha Tanzania Taifa Stars dhidi ya libya.
Magoli kipa
Aisha Manila
Beno Kakolanya
Said kipao
Mabeki
Kibwana shomari
David luhende
Datius peter
Abdi banda
Dickson Job
Oscar Masai
Carlos protas
Abdalah mfuko
Viungo
Himid Mao
Sosipita Bajana
Mzamiru yasin
Feisal salum
Issa banks
Daivid orimi
Washambuliaji
Samata
Simon msuva
Ibrahim Joshua
Said Khamis
Habibu kyombo
Historia ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) (Swahili: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania), lililokuwa Shirikisho la Soka Tanzania, ndilo linaloongoza soka nchini Tanzania. Anasimamia uendeshaji wa Mfumo wa Ligi ya Soka Tanzania, Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania. Ilianzishwa mwaka 1945, imekuwa mwanachama wa FIFA tangu 1964. Wallace Kalia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania tangu 2017.
Maraisi waliowahi kuongoza shirikisho la mpira wa miguuTanzania(TFF)
- Mr. Al Chambuso 1967-1974
- Hon. Said El mameery 1974-1987
- Mr. Mohammed Musa 1987-1992
- Alhaji. Muhdin Ndolanga 1992-2004
- Mr. Leodgar Tenga 2004-2013
- Mr.Jamal E Malinzi 2013-2017
- Mr. Wallece Karia 2017–present
Makao makuu ya shirikisho hili la mpira wa miguu Tanzania makao makuu yake yapo jijini Dar es salaam.Kikosi cha Tanzania Taifa stars