Juma mgunda kashinda kocha bora wa mwezi November 2022, Juma Mgunda kachukua Tuzo ya kocha bora wa mwezi November 2022, Kocha bora wa mwezi Nbc premier league Juma Mgunda, Juma Mgunda kocha bora wa Nbc premier league mwezi November 2022, Juma Mgunda kocha bora wa mwezi November 2022, Nbc premier league

Juma Mgunda kocha bora wa mwezi November 2022, Nbc premier league.

Kocha wa klabu ya Simba sc Juma Mgunda amechukua tuzo ya kocha bora wa Nbc premier league  wa mwezi November 2022 baada ya kuonesha ubora wa kuifundisha klabu hio na kuweza kupata matokeo mazuri katika mwezi November 2022.

Juma mgunda ni kocha wa mda wa klabu ya Simba ambapo na ni moja ya makocha bora wazawa katika soka la Tanzania na amekuwa na mafanikio makubwa kwa kila timu anazozifundisha, ameifikisha klabu ya simba katika hatua ya makundi CAF Champions league haya ni moja ya mafanikio alioneyo kocha Mgunda kwa kipindi cha mda mfupi ambacho anaifundisha klabu hii ya Simba sc .

Simba Sports Club ni timu ya soka ya Tanzania yenye makao yake makuu Kariakoo, Dar es Salaam, klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 na kutengana na timu nyingine ya Tanzania Giants, ilipewa jina la Queens. Klabu hiyo imekuwa ikijulikana kama Queens, Eagles, na hatimaye Sunderland,  Waliitwa Simba mwaka 1971.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mbali na kuwa moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita. Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Simba inapocheza michezo yake ya nyumbani.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here