Jezi mpya ya Barcelona -Third kit
Barcelona ni moja ya timu kubwa duniani ambayo inashiriki ligi kuu nchini hispania, timu hii wapinzani wake wakubwa ni klabu ya real Madrid.
Barcelona wamekuwa wakishiriki ligi ya mabingwa barani ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) na imefanikiwa kubeba makombe matano ya ligi ya mabingwa barani ulaya.
Awali timu ya Barcelona walitambulisha Jezi mbili ambazo ni Jezi zinazotumika wakiwa katika uwanja wao wa unyambani(home kit) na jezi wanazotumia katika uwanja wa ugenini (away kit) .
Sasa rasmi wametambulisha Jezi ya tatu (Third kit) ambayo huvaliwa sana benchi la ufundi.