I phone 14  kutoka September 7

I phone ni aina ya simu bora zinazozalishwa na kampuni ya Apple, kampuni hii imekuwa ikizalisha simu bora na znazopendwa na idadi kubwa ya  watu.

Toleo la mwisho la kampuni ya apple lilikuwa ni I phone 13 pro max ambayo ndio simu bora kuliko simu za kampuni nyingine kama samsang.

Apple I phone 14 pro max internal storage 128GB RAM 6GB, 256GB RAM 6GB, 512GB RAM 6GB, 1TB RAM 6GB

Camera Quiad, features, Dual LED-dual

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here