Hashimu ibwee msemaji wa Azam fc, Azam fc yamtambulisha Hashimu Ibwee kuwa msemaji wa klabu, Azam fc yapata msemaji mpya,Hashimu ibwe msemaji wa Azam fc rasmi, Hashim Ibwee msemaji mpya wa Azam fc,.

Hashim Ibwee msemaji mpya wa Azam fc

Azam fc imemtambulisha Hashimu Ibwe kama msemaji wa klabu hii baada ya msemaji wa klabu ya Azam fc zaka za Nazi  kufungiwaa na shirikisho la mpira was miguu.

Sasa rasmi Hashimu ibwe atakaimu nafasi ya Zaka za kazi , na uongozi wa Azam fc umetangaza Kuwa Hashimu ibwe atakuwa akikaimu nafasi hiyo kwa mda mpaka taarifa nyinginee watakapoitoa.

Hashimu Ibwee Alikua Mtayarishaji na Mtangazaji wa Michezo  Azam tv tz,  Mtangazaji wa Habari Azam tv tz. Kiongozi wa Mtayarishaji na Mtoa maoni wa Bundesliga katika media ya azamtvtz.

Azam football club

Azam Football Club ni klabu ya soka ya kulipwa yenye maskani yake Chamazi, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania, ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Tanzania. Klabu hiyo iliyopewa jina la utani la “Wana Lambalamba, Chamazi Millionaires or the Bakers”, ilianzishwa mwaka 2004 kama Mzizima Football Club, ikabadili jina na kuitwa Azam Sports Club mwaka 2005, kisha Azam Football Club mwaka 2006 na kuhamia uwanja wake wa sasa, Azam Complex Chamazi. mwaka 2010.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here