Haji manara katolewa milioni 10 katika adhabu, TFF yampunguzia Haji manara adhabu, Haji manara kulipa million 10 TFF, Haji Manara Apunguziwa faini.

Haji Manara Apunguziwa faini                     

Ndugu Haji sande manara msemaji wa klabu ya yanga sc ambaye alifungiwa kujihusisha na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje ya nchini na kamati ya maadili ya TFF.

Kamati hii ya maadili imetoa tamko kumpunguzia msemaji huyu adhabu yake aliokuwa amepewa ya kutokujihusisha na maswala ya mpira kwa muda wa miaka miwili na faini ya milioni 20 hivyo kamati ya rufaa imempunguzia faini ya milioni 20 na kutakiwa kulipa milioni 10 tu, na kuendelea kutumikia kifungo chake cha miaka miwili.http://Wasomiajira.com

Tamko hili limetolewa na mwenyekiti wa rufaa TFF Richard Mbaruku baada ya kupitia malalamiko ya mshitakiwa Haji sande manara na kusema malalamiko hayo hayakuwa na mshiko hivyo wametumia busara tu kuamua kumpunguzia adhabu hii.http://Tanzaniatrends.com

Haji sande manara alipewa adhabu hii July 21 2022, kutokujihusisha na maswala ya mpira wa miguu na faini ya mil 20, kwa kosa la kumkosea nidhamu raisi wa TFF wallece Karia katika fainali ya ASFC jijini Arusha kati ya Yanga na coastal union July 2 2022.Haji Manara Apunguziwa faini

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here