Geita Gold yafungwa ugenini CAF confederation , Geita gold yapoteza mchezo wa kwanza katika hatua ya awali CAF confederation,  Geita gold yapoteza dhidi ya Hilal Alsahil, Geita Gold yafungwa Sudani CAF cofenderation cup, Geita yapoteza Ugenini sudani

Geita yapoteza Ugenini sudani

Timu ya Geita Gold ya nchini Tanzania imepoteza mechi yake ya awali katika michuano ya CAF confederation, imepoteza mechi hii dhidi ya Hilal Alsahil ya nchini sudan.

Mechi hii ilikua ikichezewa nchini Sudan na timu ya Hilal Alsahil kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Geita gold, mechi ya marudiano itachezeka Tanzania ambapo Geita gold atakuwa nyumbani ambapo anatakiwa kushinda mabao mawili kwa bila ili aweze kuendelea katika hatua ya kwanza ya michuano hio.http://Wasomiajira.com

Katika mchezo wa awali timu ya Geita gold haikuwa na mshambuliaji wao kiongozi George Aman mpole ambae alikua mfungaji bora wa ligi ya NBC katika msimu wa 2021/22 alikosekana kwa sababu ya aliugua ghafla kabla ya kuanza safari ya kuelekea sudani taarifa ilitolewa na msemaji wa Geita gold.http://Tanzaniatrends.com

Historia ya  Geita gold

Geita gold ni timu inayotokea Tanzania katika mkoa wa Geita na makao makuu yake yapo Geita  timu hii inamilikiwa na mgodi wa madini uliopo Geita.

Kocha anyeifundisha timu hii ni Fred Felix minziro ambae ni raia wa Tanzania na aliwahi kucheza ligi ya Tanzania na kuchezea klabu kama yanga sc, ni moja ya makocha bora katika ligi yetu na ana lesseni A ya CAF.

Timu hii inatumia uwanja wa Nyakumbu kama uwanja wao wa nyumbani na wamekuwa wakiutumia uwanja huu vizuri na kushinda mechi nyingi za nyumbani.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here