Fiston mayele mchezaji bora wa mwezi november 2022, Fiston mayele achukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi november 2022, Fiston mayele kashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi november 2022, Fiston Mayele mchezaji bora mwezi November 2022, Nbc premier league.
Fiston Mayele mchezaji bora mwezi Novembe nor 2022, Nbc premier league.
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Kalala mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Nbc premier league wa mwezi November 2022, Tuzo hizi hutolewa na mzamini mkuu wa ligi kuu Tanzania bara ambae ni Benki kuu ya biashara ya Nbc .
Mayele
Fiston kalala Mayele ni mchezaji wa yanga raia wa Drc Congo ambae anacheza soka la kulipwa Tanzania, mchezaji huyu alizaliwa tarehe 25/06/1994 , amejiunga na klabu ya Yanga agost 2021 na ndie mshambuliaji hatari na kipenzi cha watu katika soka la Tanzania.
Amejipatia umaarufu kutokana na kiwango bora katika eneo la Ushambuliaji sambamba na staili yake ya ushangiliaji inayopendwa na idadi kubwa ya watu staili hii imepewa jina la “kutetema”.
Yanga ni klabu ya soka Tanzania bara ambayo inapatikana kariakoo Dar es salaam, ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na kupewa jina la utani young boys na baadae kubadili jina na kuitwa yanga sc imeshinda mataji 28 ya ligi na idadi ya vikombe vya nyumbani, pamoja na kushiriki katika misimu mbalimbali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF. Wana Mashindano matano ya Klabu ya CECAFA, kocha mkuu wa klabu hii ni Nasrine Mohammed Nabi raia wa uturuki.