Feisal salum mchezaji bora wa mwezi September 2022/23, Feisal salum mchezaji bora wa NBC premier league mwezi September, Feisal salum mchezaji bora wa ligi ya NBC kwa mwezi September, Feisal salumu mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara wa mwezi September,  Feisal salumu mchezaji bora wa mwezi September ligi ya NBC, Feisal salum mchezaji bora wa mwezi september

Feisal salum mchezaji bora wa mwezi september.

 

Kiungo wa klabu ya Yanga sc Feisal Salum Abdala kachaguliwa na kamati ya Tuzo ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kuwa mchezaji bora wa mwezi September wa ligi kuu ya Nbc, baada ya kiungo huyo kuonesha kiwango kikubwa katika michezo yake ya mwezi September.

Feisal salum ameonesha mchango mkubwa kwa klabu yake ya Yanga sc na kuipatia mabao mawili katika michezo yake aliocheza ya ligi kuu ya NBC, mchezaji huyu alikua akiwania tuzo hii na mchezaji wa simba sc Moses Phiri na mchezaji wa klabu ya Namungo Reliant Lusajo.

Kamati hii ya Tuzo ya shirikisho la mpira wa miguu hutoa tuzo hizi kila mwezi kwa wachezaji wanaoonyesha kiwango bora katika klabu zao wanazozitumikia .

Historia Ya Feisal Salum 

Feisal Salum Abdalla, anayejulikana kama Fei Toto aliyezaliwa 11 Januari 1998 ni mchezaji wa soka wa Tanzania,  anaichezea klabu ya Yanga sc.

Feisal salum ni raia wa Zanzibar kisiwa cha karafuu, amejiunga na klabu ya yanga sc mwaka 2018 akitokea katika klabu ya kisiwani Zanzibar ya JKU.

Alicheza Kombe la CECAFA 2017 akiwa na timu ya taifa ya soka ya Zanzibar.

Aliichezea timu yake ya taifa ya soka ya Tanzania kwa mara ya kwanza tarehe 16 Oktoba 2018 katika mechi ya kufuzu AFCON dhidi ya Cape Verde.

Alichaguliwa kwenye kikosi cha Tanzania cha Kombe la Mataifa ya Afrika 2019.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here