Tff yafunga dirisha la usajili wa Nbc premier league,  Dirisha la usajili lafungwa rasmi, 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania, ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania. Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania, na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania. Ilianzishwa mwaka wa 1945 na imehusishwa na FIFA tangu 1964. Wallace Karia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania kufikia 2017.http://Wasomiajira.com

Yanga sport club yamsajili Tuisila kisinda

Tff yafunga dirisha la usajili September 1

Shhirikisho hili la mpira Tanzania limefunga dirisha la usajili leo September 1.Dirisha la usajili ligi ya Nbc limefungwa rasmi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here